RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MFANYABIASHARA ALHAJ ALIKO DANGOTE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo, Wengine ni Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Uwekezaji Geoffrey Mwambe, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Masauni, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na wajumbe wengine waliombatana na Alhaji Aliko Dangote.
Post a Comment