KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MZEE MSEKWA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akisamiliana na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa, aliyefika Ofisi kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akisikiliza alipokuwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa, aliyefika Ofisi kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akiagana na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. (Picha zote na Mpigapicha Maalum)
Post a Comment