Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AREJEA DAR ES SALAAM AKITOKEA ZANZIBAR, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Zanzibar leo, Mei 17, 2021. Kunenge ameteuliwa juzi kuwa Mkuu wa mkoa wa Pwani.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL kabla ya kupanda ndege kuondoka Zanzibar, kurejea Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana