Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme, wakati wa hafla ya mapokezi rasmi ya Katibu Mkuu na Sekretarieti yote ya CCM kwenye Ofisi Kuu ya CCM mkoa wa Dodoma, jana. Hii ni ishara kwamba viongozi hawa wakuu wa CCM wanathamini na kutambua faida ya viongozi kushauriana mambo kila inapohitajika ili utendaji wao utoe tija.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akishauriana jambo na Mkuu mpya wa mkoa wa Morogoro Anthony Mtaka wakati wa mapokezi hayo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakati wa mapokezi hayo mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akijadili jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda wakati wa mapokezi hayo.
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment