Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakiwa katika ya kumbukumbu na Wahariri wa Vyombo vya Habari ambao wapo mjini Morogoro kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Chongolo akuwa na msafara wake, amekutana na Wahariri hao alipoenda kuwasalimia, leo.
Zifuatazo ni picha mbalimbali Chongolo akiwa na Wahariri hao.👇
Post a Comment