Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Kitila Mkumbo akipongezwa na mawaziri wenzie pamoja na wabunge baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupishwa bungeni Mei 22, 2021 jijini Dodoma. |
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara. |
Wabunge na mawaziri wakimpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Mkumbo baada ya Bajeti kupitishwa.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Mkumbo akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupitishwa. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Waziri Mkumbo akiwasilisha Bajeti ya wizara hiyo na kuomba wabunge waiunge mkono.....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment