Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI DODOMA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la elimu ya Ufundi hapa nchini Prof. John Kondoro akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya mabanda ya maonyesho kabla ya uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.


Katibu Mtendaji wa NACTE Adolf Rutayuga akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Antony Mtaka akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kwa lengo kuonyesha bidhaa za elimu ya ufundi, maonyesho yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau mara baada ya uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya ufundi yaliyozinduliwa leo Jijini Dodoma na yanafanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa siku 7.
Baadhi ya washiriki na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa maonyesho ya pili ya elimu ya ufundi yaliyozinduliwa leo Jijini Dodoma na yanafanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kwa siku 7.


 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana