Featured

    Featured Posts

CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, SASA RASMI KUANZA KUSIKILIZWA JUNI 2

 

MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa na Yanga dhidi yake itupwe.
Sasa CAS imeamua shauri hilo ambalo Yanga inadai Morrison amesaini kwa wapinzani, Simba akiwa na mkataba na wana Jangwani hao lililofunguliwa Septemba mwaka jana itaanza kusikilizwa Juni 2, mwaka huu.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana