Glory Albert Lucas wa akipongezwa na Mama yake, Flora Zakaria na Dada yake Aggy ( kulia) wakati kwa kupokea Komunio ya kwanza, katika Kanisa Katoliki, leo na baadaye ikaendelea sherehe kamambe nyumbani kwao Mbezi, Kawe Dar es Salaam. Hongera sana Glory.








Post a Comment