Featured

    Featured Posts

KATIBU MKUU CHONGOLO AMTEMBELEA MZEE MALECELA NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA, LEO

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akiwa na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Bara Mzee  Samwel Malecela Nyumbani kwake Mtaa wa Kilimani Dodoma, alipomtembelea, leo, ikiwa ni muendelezo wa Katibu Mkuu kukutana na wazee wastaafu mbalimbali kwa lengo la kujifunza na kujitambulisha.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana