Featured

    Featured Posts

WIZARA YA MAJI TUKO KWENYE MPANGO MKUBWA, UTEKELEZAJI MNAUONA-MHANDISI MAHUNDI+video


 Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kuhusu sekta ya maji ambapo pamoja na mambo mengine amejibu kuwa Wizara ya Maji iko kwenye mpango mkubwa na utekelezaji wanauona.

Mhandisi Mahundi alikuwa anajibu wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  jijini Dodoma Juni 4, 2021.


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video jinsi Naibu Waziri Maryprisca Mahundi akiwajibu kwa ufasaha wabunge ....


Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana