Dodoma, leo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo Juni 10, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD-FDD Reverien Ndikuriyo, katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali, kama tulovyozipata👇
Picha zote na Mitandao.
Post a Comment