Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Liberata Mulamula, akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Masisi amewasili nchini kwa ajili ya ziara ys kikazi ya siku mbili kufuatia mwaliko wa mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Liberata Mulamula, akiendelea kumtambulisha kwa viongozi mbalimbali Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Liberata Mulamula, akiwa na Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashari Liberata Mulamula, akizungumza na Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Blog ya Taifa ya CCM)
Post a Comment