Machifu kutoka mikoa mbalimbali wakitambulishwa walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma kujifunza mwenendo wake. |
Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson (katikati) akiwa na baadhi ya machifu wa kike.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja akizungumza na baadhi ya machifu waliotembelea Bunge.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akjadiliana jambo na machifu hao. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment