Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULUU ZANZIBAR, MJINI UNGUJA, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa meza kuu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii, Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Hemed Suleiman Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) ni Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Abdalla Hussein Kombo, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zuberi Ali Maulid na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Bw.Kadari Singo.

Viongozi mblimbali wakiwa kwenye Komgamano hilo👇
👇
👇
Picha zote na Ikulu
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana