Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR, LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Hodan Addou, wakati akimkabidhi  mkoba ukiwa na ujumbe wa maneno “Wanawake Wana Haki ya Kuongoza”, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Hodan Addou, Ikulu Jijini Zanzibar, leo. Mbali na mazungumzo Addou alikutana na Rais kwa ajili ya kujitambulisha.(Picha zote na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana