Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AAGIZA UONGOZI SOKO KUU LA KARIAKOO USIMAMISHWE KAZI KUPISHA UCHUNGUZI

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kusimamishwa uongozi wa Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, kupisha uchunguzi wa namna uongozi huo unavyoendesha shuguli za soko hilo.


Rais Samia amechukua hatua hiyo alipotembelea Soko hilo katika ziara ya ghafla na kujionea hali halisi na kupokea kero kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara aliozungumza nao.


Rais ameonesha kutoridhishwa na hali ya  Biashara ya Sokoni na kuahidi kufanya tathimini ili kuweka mazingira katika hali nzuri.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiasha katika Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, alipofanya ziara ya kustukiza mapema leo.

Tazama Video hapo👇



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana