Inasadikiwa kuwa maigizo hayo ya kuzika majeneza matupu yanalenga kuzidisha hofu na taharuki ili Dunia ijue kwamba Uganda ipo Corona ya kutisha na inaua ili wapate sababu za kupewa fedha za Corona na Shirika la Fedha Duniani (IFM)!
Shule zimefungwa, watu wamefungiwa, mikutano imezuiliwa watu wameaminishwa kwamba kuna wimbi jipya la Corona limeanzia Uganda, kumbe majeneza mengine yanazikwa tupu!
Kusoma zaidi kisa chote, Bofya👉 HAPA
Post a Comment