Mbunge wa Songwe,ambaye amewahi kuwa Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali, bungeni Dodoma Juni 21, ameishauri Serikali kuwa wanafunzi wa darass la 7, kidato cha Nne wasiende likizo wabaki shuleni kujiandaa na mitihani ya kumaliza shule Ili ufaulu uwe mzuri.
Ndau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mulugo akitoa ushauri huo na mwingine pia ....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment