Shaka, ameyasema hayo wakati wa mkutano na wandishi wa habari katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Juni 22,2021 muda mfupi baada ya kikao hicho kumalizika ambapo pia alitangaza uteuzi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Kenani Kihongosi na mgombea Ubunge Jimbo la Konde, Micheweni Pemba, Sheha Mpemba Faki pamoja na kuwapongeza wabunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa kishindo.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri kwenye mkutano huo na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM.....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
075424203
Post a Comment