Featured

    Featured Posts

ZIARA YA SHAKA HAMDU SHAKA, PANGANI, TANGA, LEO

 Aliyekuwa mwanachama wa CUF Bi Ashura Faraji Makata mkazi wa Kata ya Mwera akirudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi katika kikao cha Mwenezi Ndugu Shaka na Wanachama wa CCM Shina na 15 Kata ya Mwera
Ndg Mbwana Gandi  Katibu wa Shina Namba Nne  akiwasilisha taarifa ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Madanga ambayo inaendelea na ujenzi.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndg Shaka Hamdu  akimsalimia Ndugu Salehe Daakiki mwanachama wa CCM na Mzee Maarufu  Kata ya Mwera.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndg Shaka Hamdu  akimsalimia Ndugu Salehe Daakiki mwanachama wa CCM na Mzee Maarufu  Kata ya Mwera.
Mwenyekiti wa Kitongoji  cha Jaira Ndugu Hatibu Mnyamisi (kushoto) akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa  Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ambae yuko ziarani wilayani  Pangani
Ndugu Swaumu Abdala, Katibu wa Tawi la CCM Madanga  akizungumza mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka alipotembelea Madanga leo tarehe 12 Juni 2021
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na uenezi Ndg Shaka Hamdu akiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Pangani Ndg Hassan Moyo wakinunua madafu kwa Mwanamama mjasiriamali pembezoni mwa kivuko cha Pangani.





author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana