Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Godfrey Chongolo pamoja na Sekretarieti yake Mkoani Mbeya tayari kwa kuanza ziara katika Mikoa ya Rukwa, Songwe na Mbeya.
Mapokezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa ndege wa Songwe asubuhi ya leo Julai 7,2021, na kuanza safari kuelekea Mkoani Rukwa.
Chongolo akilakiwa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) pamoja na viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mbeya.
Post a Comment