Katibu Mkuu wa CCM, Comrade Daniel Chongolo akiwaongoza viongozi na wanachama wa Ccm kupunga mikono wakati Rais wa Zimbabwe, Mnangagwa akitoa salamu za Zanu PF kwa njia yamtandao katika Mkutano wa Cha Chama cha Kikomunisti cha China cha CPC na vyama rafiki vya siasa Duniani wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya Chama hicho leo. Kwa upande wa Tanzania Mkutano huo umefanyika katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani Juni 6,2021.
Comrade Chongolo akihutubia wakati wa maadhimisho hayo na kuelezea historia na urafiki wa nchi hizo.
Katibu wa NEC, Siasa na Mambo ya Nje wa CCM, Kanali mstaafu Ngamela Lubinga akizungumza kabla ya kumkaribisha Kaibu Mkuu wa CCM, Chongolo kuhutubia..
Baadhi ya maofisa wa Ubalozi wa China nchini
Comrade Chongolo akiandika mambo muhimu wakati Rais wa China,Xi Jinping akihutubia kwa njia ya mtandao kuhusu maadhimisho hayo. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Christina Mndeme.
Baadhi ya wanaccm wakiwa kwenye mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment