Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango akiwasalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na Usalama baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo, akitokea Paris nchini Ufaransa kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa ( Generation Equality Forum). Picha na Ofisi ya Najamu wa Rais.
Post a Comment