Featured

    Featured Posts

SEKRETARIETI YA CCM IKIONGOZWA NA KATIBU MKUU CHONGOLO YAWASILI ZANZIBAR, YAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA DK. SHEIN, LEO.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais mstaafu na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (watatu kushoto) na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, nyumbani kwake mjini Zanzibar, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais mstaafu na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, nyumbani kwake mjini Zanzibar, leo. 
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, wakiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais mstaafu na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT) Queen Mlozi wakiwa katika mazungumzo hayo nyumbani kwa Dk. Shein
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo Naibu Katibu wa CCM Bara Christina Mndeme na Katibu wa NEC Oganaizesheni Moudline Castico (kulia) walikishuka kwenye Boti walipowasili katika Bandari ya Malindi jijini Zanzibar, mapema, leo.
NmKatibu Mkuu wa CCM akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi ambaye aliupokea msafara ulipowasili katika Bandari ya Malindi,. Zanzibar, leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana