Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Halima Okash akikabidhiwa ofisi na Mkuu wa Wilaya aliyepita, Albinus Mugonya ambapo mara baada ya kukabidhiwa alianza kazi mara moja kwa kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleleo inayotekelezwa wilayani humo.
Post a Comment