: Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Serikali wa mkoa wa Songwe mara baada ya kuwasili mkoani humo.
Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa wamewasili mkoani Songwe leo Julai 9, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu)
Post a Comment