: Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo amesimikwa na Wazee wa Kimila wa Wilaya Momba mkoani Songwe na kupewa jina la Mlondwa mara baada ya kupokea taarifa za Serikali na Chama.
Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa wamewasili mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili leo Julai 9, 2021 (Picha na CCM Makao Makuu)
Post a Comment