Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI GEKUL AZINDUA RASMI KAMATI YA TAMASHA LA MICHEZO LA WANAWAKE

 

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (aliyekaa katikati) akizungumza na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Michezo la Wanawake pamoja na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kakatikati) akizungumza na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Michezo la Wanawake pamoja na waandishi wa Habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam Wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Michezo la Wanawake, Neema Msitha (kulia) ambaye ni Kaimu Katibu Mtendaji wa  Baraza la Michezo la Taifa (BMT) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusuph Singo.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusuph Singo (kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Michezo la Wanawake pamoja na waandishi wa Habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo.

 

Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Michezo la Wanawake (waliokaa mbele) wakimsikiliza kwa Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Tamasha la Michezo la Wanawake mapema hii leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuizindua rasmi kamati hiyo.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana