Featured

    Featured Posts

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI JIJINI DODOMA

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma,

Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akichangia jambo wakati  kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021, kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Aderladus Kilangi    

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana