Featured

    Featured Posts

CHRISTINA MNDEME AHUTUBIA WANANCHI KWENYE SHINA LA CCM, AKIWA AMEKETI NAO CHINI KATIKA KIJIJI CHA NACHINGWEA, MKOANI LINDI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Christina Mndeme akihutubitia wananchi katika Shina Namba 1, huku akiwa amekaa nao chini, katika Kijiji cha Nachingwea, Kata ya Nachingwea Wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo, ambako alifika kuimarisha uhai wa CCM ngazi ya Mashina katika kata hiyo. Mndeme ni miongoni mwa Viongozi wa Sekretarieti ya CCM, ambao wameambatana na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo katika ziara ya kikazi ya siku 7 katika mikoa minne ikiwemo Lindi ambako ziara hiyo ilianza jana.
CCM Hoyeee, akisema Mndeme huku akiitikiwa na wananchi
Kisha Mndeme akaendelea kuhutubia masuala mbalimbali kuhusu uhai wa Chama.
Wananchi hususan wana CCM wa wa shina hilo wakimsikiliza Mndeme kwa makini.
Mndeme akisisitiza jambo huku wananchi hususan wana CCM wa tawi hilo washina hilo wakimsikiliza kwa makini.

 ©2021 CCM Blog/Bashir Nkoromo

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana