Featured

    Featured Posts

COMRADE CHONGOLO ATINGA MKOANI LINDI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Katibu Mkuu ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Christina Mndeme akizungumza baada ya kuwasili Nangulukulu, mkoani Lindi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana