Mwanafunzi wa Grade IV Pink ILham Issa akiwa kwenye lango la kuingia katika Ofisi ya Mbuga ya Wanyama ya Mikumi mkoani Morogoro, wakati yeye na wanafunzi wenzake wa Atlas School Madale jijini Dar es Salaam, walipofanya ziara ya mafunzo kwa kutembelea mbuga hiyo, Jumapili Septemba 5, 2021
Ilham na wanafunzi wenzake wakiwa kweneye gari wakati wa safari ya kwenda huko Mikumi,
Ilham (Wapili kulia) na Wenzake wakiwa eneo mojawapo katika Mbuga ya Mikumi
Ilham akiwa amesimama mbele ya wenzake wakiwa kwenye eneo la Mto Mawe katika Mbuga hiyo.
Ilham (kulia) akiwa na wenzake eneo la mto Mawe
wakiwa eneo la Mto Mawe
Mto Mawe
Wakiwa Shule ya Sekondari Kilakala kabla ya kwenda Mbugani
Mto Mawe
Mto Mawe
Mto Mawe
Wakiwa wamepumzika eneo la karibu na Chuo cha SUA
Sua
Sua
Sua
Sua
Sua
Post a Comment