Featured

    Featured Posts

WAZIRI AWESO: ATAKAYEHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI KUKIONA

Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza katika mkutano na wahariri pamoja na baadhi ya waandishi wa habari ambayo lengo lake zaidi ilikuwa kufahamiana ikwemo pia kujua utendaji kazi wa wizara hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji  Safi na Usafi wa Mazingira Mjini (DUWASA) Mkoa wa Dodoma Mhandisi Aron Joseph akielezea mikakati ya kuhakikisha Dodoma inaondokana na tatizo la maji.


Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari walioalikwa katika semina hiyo.




 PICHA ZAOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza Waziri Aweso na Mkurugenzi wa Duwasa, Mhandisi Aweso ujue walichozungumza katika mkutano huo...
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana