Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga leo ameihoji Serikali kuwa ni lini vituo vya afya vya Mapera na Muungano na vinginevyo vitaanza kutoa huduma ya upasuaji ambao haufanyiki kutokana na kukosekana kwa baadhi ya vifaa ikiwemo Sterilizer.
Kapinga ameuliza swali hilo kwa Wizara ya Tamisemi wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni ambapo alijibiwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, David Silinde. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kapinga akiuliza swali hilo na jinsi alivyojibiwa na Silinde.....Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment