Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA


Wabunge wakiingia bungeni Dodoma ambapo kulikuwa na kipindi cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kujibu maswali ya wabunge na majadiliano za kupitisha mswada wa mabadiliko za sheria ndogondogo.
Wayiri wa TAMISEMI, Ummz Mwalimu akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kulia) na Naibu Wayiri wa Tamisemi, David Silinde.


Wayiri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo za Makazi, Wiliam Lukuvi (kulia) na Mbunge wa Mbulu Vijijini.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Omar Kipanga akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda
Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige.

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiwahi kuingia bungeni.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana