Featured

    Featured Posts

WAZIRI CHAMURIHO AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA MWAKA WA WAHANDISI DODOMA

 Wahandisi wapya wakila kiapo cha uadilifu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 18 Wahandisi uliofunguliwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,  Dkt. Leonard Chamuriho kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 2, 2021.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,  Dkt. Leonard Chamuriho akifungua Mkutano wa 18 wa Mwaka  wa Wahandisi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 2, 2021.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthonz Mtaka akihutubia wakati wa mkutano huo ambapo amewataka wahandisi kuvuka mipaka kuomba tenda mbalimbali hata katika nchi zingine.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Eng. Prof. Ninatubu Lema akielezea mafanikio na changamoto zinazowakabili.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta za Ujenzi),  Eng. Joseph Malongo akifafanua jambo wakati wa mkutano huo..

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,  Dkt. Leonard Chamuriho akitembelea mabanda mbalimbali wakati wa maonesho yanayoenda sambamba na mkutano huo.



Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA














author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana