Featured

    Featured Posts

NAIBU KATIBU MKUU CCM CHRISTINA MNDEME ALIVYOITIKISA NEWALA MKOANI MTWARA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akiangalia nguvu ya maji wakati alipotembelea mradi wa maji Makonde uliopo Newala mkoani Mtwara.
Meneja Mradi wa Maji Makonde Mhandisi Emmanuel Komkom akitoa maelezo ya changamoto za mitambo ya kuvuta maji kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme katika kituo cha kupokelea maji yanayotoka kwenye chanzo cha maji Mkunya wilayani Newala Mkoa wa Mtwara, ikiwa siku ya pili ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. George Mkuchika akihutubia wakazi wa shina namba 1 Kiuta kata ya Mkunya wilayani Newala mkoa wa Mtwara ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 1 Kiuta kata ya Mkunya wilayani Newala mkoa wa Mtwara ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia wakazi wa shina namba 1 Kiuta kata ya Mkunya wilayani Newala mkoa wa Mtwara ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 1 Kiuta kata ya Mkunya wilayani Newala mkoa wa Mtwara ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akicheza ngoma na wenyeji wake wa shina namba 1, Mahumbika, wilayani Newala mkoa wa Mtwara. (Picha zote na CCM Makao Makuu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana