Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza na Wanannchi katika Shina namba 4 Kijiji cha Yombo Wilayani Tandahimba mkoani Mtwara, kuhusu namna bora ya kuimarisha uhai wa Chama ngazi ya Mashina, akiwa katika ziara mkoani humo kukagua uhai wa Chama na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, juzi. Pia Ngemela aliwaeleza wananchi kuhusu umuhimu wa kushiriki kikamilifu Sensa ya Watu na Mkazi itakayoanyika mwakani (2022).
Wanannchi katika Shina namba 4 Kijiji cha Yombo Wilayani Tandahimba mkoani Mtwara, wakimsikiliza Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya SUKI Makao Makuu ya CCM)
Post a Comment