Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AHUDHURIA TAMASHA LA KIMILA MKOANI MWANZA, ATAWAZWA KUWA CHIFU MKUU WA MACHIFU WOTE TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Mkuki na Ngao kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu Tanzania Chifu Fundikira, baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya lenye maana ya Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni la 'Mila na Desturi zetu' lililofanyika katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya lenye maana ya Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni la 'Mila na Desturi zetu' lililofanyika katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza, leo.
 
Wananchi wa Mwanza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika Tamasha la Utamaduni la 'Mila na Desturi zetu' lililofanyika katika Viwanja vya Red Cross Kisesa, Magu Mkoani Mwanza leo
Wananchi wa Mwanza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika Tamasha la Utamaduni la 'Mila na Desturi zetu' lililofanyika katika Viwanja vya Red Cross Kisesa, Magu Mkoani Mwanza leo (Picha zote  na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana