Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Amina Mohammed baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma, jana. Katikati ni Wazir wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masheriki Liberatha Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Amina Mohammed Ikulu Chamwino Jijini Dodoma, jana.(Picha zote na Ikulu)
Post a Comment