Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA: TUNA MIRADI MINGI TULIYOACHIWA NA RAIS WETU HAYATI DK. MAGUFULI TUTAITEKELEZA KAMA ILIVYOPANGWA

"Tuna mambo mengi ya kufanya, tuna miradi mikubwa tulioachiwa na Rais wetu (Hayati Dkt. Magufuli) tunaendelea kuitekeleza, na ninawaahidi tutaitekeleza kama ilivyopangwa."  Rais Samia Suluhu Hassan, leo akiwa Tegeta, Jimbo la Kawe akienda Bagamoyo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana