Spika wa Bunge la Jamhuri za Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameomba radhi kwa Wakristo na Watanzania kwamba katika kauli yake aliyoitoa bungeni jana Agosti 31,2021.akihitimisha adhabu waliyopewa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa.
Amesema katika kauli yake neno Yesu liondolewe lisomeke Yusufu na maneno mengine yabaki kama yalivyo.
Post a Comment