Featured

    Featured Posts

SHUHUDIA MOTO WA SHEREHE YA HARUSI YA IDDI MPONDOMOKO NA MKEWE RAUKAIYA ILIVYOTIA FORA, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM

Siku ya Ijumaa, Septemba 3, 2021 ilikuwa siku ya kipekee kwa familia ya Hayati Mzee Hussein Mpondokomo ambaye tunamuombea kwa Mwenyezi Mumungu aendelee kumjaalia kauli thabiti na kumuondolea adhabu za kaburi. Ina Lilalh Waina Ilayhi Raj'uun.

Ilkuwa siku ya kipekee kwa kuwa ndiyo siku ambayo Kijana wake Iddi Huseein Mpondomoko na Mkewe Raukaiya walipoandika historia ya kipekee katika maisha yao kwa kufanya sherehe iliyofana sana ya Harusi yao.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi mdogo wa Bwalo la Jeshi la Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Maharusi hao. Pichani, Bwanaharusi Iddi na Mkewe Raukaiya wakilshana keki wakati wa sherehe hiyo. Zifuatazo ni mtiririko wa picha kem kem za tukio hilo. Endelea kuzitazama Hapo
Mwendesha shughuli akaanza kwa kuikaribisha kuingia ukumbini familia ya Bwana Harusi, ambao waliingia wakiimba na kucheza wimbo wa Kimatumbi huku wa kiongozwa Mama wa Bwana Harusi, Mama Mpondo.(Mwenye kilemba chekundu).






++++++
Kisha MC akaikaribisha kuingia ukumbini Familia ya Bibi Harusi ambao waliingia wakiongozwa na Baba na Mama wa Bi Harusi na nyuma ya wanafamilia hiyo wakafuatia waalikwa mbalimbali kuingia ukumbini.












++++++++
Watoto wa Iddi Mpondo na Mkewe, kina Ajiba na Dada yake Sharon wakingia ukumbini kutia baraka kabla ya Maharusi kuingia.

Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Maharusi, wakawa ukumbini kwa furaha wakati wakiwasubiri kwa hamu Maharusi waingine ukumbini


















++++++
Punde si punde, Maharusi wakaingia ukumbini wakicheza muziki laini huku wakimeremeta kwa mavazi yao ya kisasa kaisa waliyovaa na sura zilizojaa tabasamu muda wote.







"Karibuni, Karibuni" Mama Mpondo akaongoza Ndugu, Jamaa na Marafiki kusimama kuwalaki Maharusi baada ya kuingia ukumbini.













Kisha Maharusi wakafika mahala pa kuketi, lakini wakasimama kwanza kusubiri itifaki ikiwemo kusamilia na kupitishwa dua.

Sheikh akashusha Dua, kuombea kwa Allah shughuli iwe ya baraka.



++++++
Baada ya Duna ikawa zamu ya Wanakamati wa Maadalizi ya Sherehe hiyo kupata fursa ya kujitambulisha





+++++++
Halafu ukawadia wakati wa Maharusi kufanya utambulisho wa ndugu, Jamaa na Marafiki. "Kabla sijafanya utambulisho nawaomba ndugu jamaa na rafiki zetu mliofka hapa, tusimame kwa dakika tatu kuwakumbuka wenzetu waliotangulia mbele za haki, hususan Baba yetu Mzee Huseein Mpondokomo", akasema Bwana Harusi, na ikafanyika kama alivyoomba.


"Naanza mumtambulisha Mama yangu Mzazi, naomba asimamie kuwasalimia", akasema Bwana Harusi, kisha Mama Mpondo akasimama kuslimia.























++++++++
Ukawadia wakati wa keki























































































































































author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana