Siku ya leo Benki ya NMB imezinua rasmi Marathon yao ya NMBMARATHON ambayo itafanyika hapa Dar Es Salaam mwezi huu wa tisa yakiwa na lengo la kusaidia akina mama wanaosumbuliwa na matatizo ya Fistula wakishirikiana na CCBRT.
Akiongea na wana habari Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati Benki ya NMB – Filbert Mponzi ameongeza kuwa, NMB wameshirikiana na wadau mbalimbali yaani makapuni mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha jambo hilo.
NMB wameeleza kuwa mbio hizo zitafanyika mnamo tarehe 25 mwezi wa tisa kutoka tarehe 18 wakisogeza mbele kwa lengo la watu wengi zaidi waweze kushiriki.
Post a Comment