MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MTAKATIFU MARTIN YA KIPATIMU KILWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa, Dkt. Christina Kasyama (kulia) kuhusu mashine ya X-ray wakati alipotembelea hospitali hiyo, Oktoba 6, 2021.
Post a Comment