Mhandisi Kundo akiwa katika Banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Mhandisi Kundo akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Elimu na Uhamasishaji wa TCRA- CCC, Hilarz Tesha kuhusu taasisi hiyo.
Ofisa Mkuu wa Biashara ya Rejareja wa Kampuni ya DHL, Abdallah Shariff akimpatia Mhandisi Kundo kuhusu shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo.
Naibu Waziri, Kundo akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kazi za mamlaka hiyo.
Mhandisi Kundo akiwa banda la Airtel
Mhandisi Kundo akitembelea banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba akimpatia maelezo Naibu Waziri, Mhandisi Kundo kuhusu mikakati ya kuboresha mawasiliano nchini.
Mhandisi Kundo akitia saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wakala wa Usajili Leseni za Biashara (BRELA)
Mhandisi kundo akiwa banda la Shirika la Mawasiliano Tanyania (TTCL).
Mhandisi Kundo akiwa banda la Kampuni ya TSN ya magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment