Featured

    Featured Posts

MBUNGE KILAVE KUANZA ZIARA JIMBONI TEMEKE KESHO, NI KUKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO 2020/21

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog
Mbunge wa Jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam Dorothy Kilave kesho Jumanne, Novemba 16, 2021 ataanza ziara ya kikazi katika Kata mbalimbali jimboni humo kukagua miradi iliyotekelezwa kwa fedha za mfuko wa jimbo katika kipindi cha 2020/2021 na kuikabidhi kwa Kamati za Maendeleo ya Kata.

Taarifa iliyotolewa leo na Ofisi ya Mbunge huyo, imesema katika ziara hiyo Mbunge Kilave ambayo iyaishia Disemba 2, 2021, atafanya mikutano na kuzungumza na Wakanchi katika kila Kata na atatumia fursa hiyo pia kuwasikiliza wananchi hao kwa lengo la kuzichukua kero na kwenda kuzitafutia ufumbuzi ikiwa zitaitokeza.

RATIBA KAMILI YA ZIARA HIYO👇
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana