Featured

    Featured Posts

TV CHOGO INA MADHARA MAKUBWA KIMAZINGIRA-WAZIRI JAFFO+video


WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Seleman Jaffo amesema kuwa Televisheni za kichogo ni hatari sana kwa mazingira na kioo chake kina madhara kwa binadamu. Jaffo, amebainisha hayo alipokuwa akijibu maswali kutoka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa wizara hiyo kuelezea changamoto na mafanikio ndani ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, jijini Dodoma Novemba 15, 2021. Mikutano hiyo ya kuwakutanisha mawaziri na waandishi wa habari ya kuelezea tulikotoka, tulipo na tunakokwenda inaratibiwa na Idara ya Habari Maelezo.


Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo ambapo pia walipata wasaa wa kuuliza maswali.




                                      

                                     

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa maneno ya kuhitimisha mkutano wa wizara hiyo na waandishi wa habari.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nisikuondolee uhondo, hivyo nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Jaffo akielezea madhara ya TV na Kompyuta kimazingira ....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana