Featured

    Featured Posts

WABUNGE WA TANZANIA WAHUDHURIA KIKAO CHA SADC-PF AFRIKA KUSINI

                                

Mjumbe wa SADC PF kutoka Tanzania Mheshimiwa Shally Raymond akiongoza Kikao cha Wajumbe wa Kamati mbalimbali kutoka kwenye Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kinachofanyika hii leo Jijini Johannesburg kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Mfano juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia (SADC Model law on Gender Based Violence). Picha na Ofisi ya Bunge.

                                          
Wajumbe wa SADC PF kutoka Tanzania wakifuatilia kwa karibu Kikao cha Wajumbe wa Kamati mbalimbali kutoka kwenye Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kinachokutana Jijini Johannesburg kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Mfano juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia (SADC Model law on Gender Based Violence). Picha na Ofisi ya Bunge.
                                 
Wajumbe wa SADC PF kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye kikao cha Kamati za Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kinachokutana Jijini Johannesburg kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Mfano juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia (SADC Model law on Gender Based Violence).





author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana